Wanaume kweli: Nahodha wa Real Madrid, Iker Casillas akiwa ameinua Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwafunga jirani zao, Atletico mabao 4-1 usiku huu Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno. Hilo linakuwa taji la 10 la michuano hiyo kwa Real.
Mfungaji wa bao la pili la Real, Gareth Bale akiwa amebaba Kombe kichwani
Mfungaji wa bao la nne la Real, Cristiano Ronaldo akiwa ameinua Kombe
Mfungaji wa bao la kusawazisha la Real, Sergio Ramos akiwarukia wenzake kushangilia ubingwa
Kikosi kizima cha Real Madrid kikifurahia na Kombe
0 comments:
Post a Comment