PAMOJA na Bayern Munich kutolewa na Real Madrid katika Nusu Fainali ya Mabingwa Ulaya, lakini bado ndiyo klabu tajiri duniani.
Real wakati fulani walikuwa klabu yenye thamani ya bishaa bora nambari moja duniani, lakini vigogo hao wa Hispania wameyumba baada ya mtikisiko wa kiuchumi iliyoikumba nchi yao.
Real waliporomoka hadi nafasi ya tatu, lakini sasa mabingwa hao mara 10 Ulaya wamerejea nafasi ya pili katika.
Bayern, vugogo wa Ujerumani wanashika mamba moja wakiwa na thamani ya utajiri wa Pauni Milioni 531.
Bidhaa bora duniani: Bayern Munich bado wapo juu kwa maana ya bidhaa wakiwa na thamani ya Pauni Milioni 531.
Nyomi la kufa mtu: Sergio Ramos akiuonyesha Kombe la Ligi ya Mabingwa umati wa wapenzi wa timu hiyo eneo la Puerta del Sol wakiwa njiani kuelekea makao makuu ya klabu yao, Bernabeu
10 Bora: Manchester Unite imeangukia nafasi ya taut katika msimamo wa timu zenye thamani kubwa duniani, wakati Bayern Munich inaongoza
0 comments:
Post a Comment