// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NI USIKU WA MAYWEATHER NA AMIR KHAN MGM GRAND LEO, NDONGA MTINDO MMOJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NI USIKU WA MAYWEATHER NA AMIR KHAN MGM GRAND LEO, NDONGA MTINDO MMOJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, May 03, 2014

    NI USIKU WA MAYWEATHER NA AMIR KHAN MGM GRAND LEO, NDONGA MTINDO MMOJA

    Atajuta kukutana nami: Bingwa wa WBC uzito wa Welter, Floyd Mayweather Jnr (kushoto) akiwa na bingwa wa WBA, Marcos Maidana wakati wa kupima uzito jana usiku tayari kwa pambano lao leo usiku wa leo ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Marekani. Mayweather anatamba na rekodi ya kutowahi kupoteza pambano tangu aanze ngumi za kulipwa. Je, rekodi hiyo itavunjwa na Maidana?
    Full focus: Amir Khan (left) and Luis Collazo both weighed-in at 147lbs
    Amsha popo: Amir Khan (kushoto) atapigana na Luis Collazo katika pambano la utangulizi na wote katika kupima uzito walikutwa na pauni 147 kila mmoja
    Up for grabs: Mayweather looked his usual self at the weigh-in
    Asiyepigika: Mayweather anaonekana yuko tayari kuendeleza rekodi yake ya kutopoteza pambano 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NI USIKU WA MAYWEATHER NA AMIR KHAN MGM GRAND LEO, NDONGA MTINDO MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top