MSHAMBULIAJI Edin Dzeko alifunga mabao timu yake ya taifa, Bosnia-Herzegovina ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ivory Coast usiku wa jana katika mechi za kujiandaa na Kombe la Dunia.
Bosnia ikicheza mechi ya pili ndani ya mezi sita mjini St Louis, ilicheza soka safi na kuwavutia mashabiki wake.
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drgoba alitokea benchi kipindi cha pili na kuifungia Ivory Coast bao la kufutia machos dakika za majeruhi kwa mpira wa adhabu.
0 comments:
Post a Comment