• HABARI MPYA

    Wednesday, May 14, 2014

    DEMU WA NASRI AMWAGA MATUSI HADI KWA KOCHA KISA BASHA WAKE KUTEMWA UFARANSA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA

    DEMU wa Samir Nasri amemwaga matusi ya nguoni baada ya bwana wake, anayechezea klabu ya Manchester City kutemwa katika kikosi cha timu ya taiga ya Ufaransa kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia.
    Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 ametemwa kwenye kikosi cha Didier Deschamps - ikifikiriwa ni kwa sababu za utovu wa nidhamu na Anara Atanes ameonyesha hisia zake kwenye Twitter.
    Ameposti hivi: 'F*** france and f*** Deschamps! What a s*** manager!'(matusi ambayi tumeona tusiyatafsiri ili kupuguza makali yake).
    Kidemu chenyewe hiki hapa: Atanes, mwanamitindo mzaliwa wa Brighton, anafikiri timu ya taifa haijampa heshima ya kutosha Nasri
    Outrage: And girlfriend Adana Atanes tweeted that Didier Deschamp's was a s*** manager
    Bibi na bwana: Nasri akiwa na Adana Atanes na chini ndiyo tweet yake
    X-rated: Anara Atanes' tweet on Tuesday evening

    KIKOSI CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA;

    Makioa: Mickael Landreau (Bastia), Hugo Lloris (Tottenham), Steve Mandanda (Marseille).
    Mabeki: Lucas Digne (Paris Saint-Germain), Patrice Evra (Manchester United), Laurent Koscielny (Arsenal), Eliaquim Mangala (Porto), Mamadou Sakho (Liverpool), Raphael Varane (Real Madrid), Mathieu Debuchy (Newcastle), Bacary Sagna (Arsenal).
    Viungo: Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain), Rio Mavuba (Lille), Paul Pogba (Juventus), Moussa Sissoko (Newcastle), Yohan Cabaye (Paris Saint-Germain), Clement Grenier (Lyon), Mathieu Valbuena (Marseille).
    Washambuliaji: Loic Remy (Newcastle), Franck Ribery (Bayern Munich), Karim Benzema (Real Madrid), Olivier Giroud (Arsenal), Antoine Griezmann (Real Sociedad).
    Wachezaji wa akiba: Stephane Ruffier (Saint-Etienne), Loic Perrin (Saint-Etienne), Benoit Tremoulinas (Saint-Etienne), Morgan Schneiderlin (Southampton), Maxime Gonalons (Lyon), Remy Cabella (Montpellier), Alexandre Lacazette (Lyon).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEMU WA NASRI AMWAGA MATUSI HADI KWA KOCHA KISA BASHA WAKE KUTEMWA UFARANSA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top