
Saturday, May 31, 2014

Na Mahmoud Zubeiry, LUSAKA TIMU ya soka ya taifa ya Zambia, itaondoka Lusaka Juni 3, kwenda Marekani kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Ja...
LAMBERT AREJEA NYUMBANI LIVERPOOL
Saturday, May 31, 2014
MSHAMBULIAJI Rickie Lambert amewasili Liverpool kufanyiwa vipimo vya afya kuelekea kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 4 kutua Mers...
URUGUAY BILA SUAREZ YADUNGA MTU KIMOJA
Saturday, May 31, 2014
IKICHEZA bila mshambuliaji wake nyota, Luis Suarez ambaye ni majeruhi kwa sasa, Uruguay jana iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ireland K...
SANCHEZ WA BARCA AWAFANYA KITU MBAYA MISRI HAWAKUAMINI MACHO YAO JANA
Saturday, May 31, 2014
MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Alexis Sanchez alitengeneza mabao tote matatu Chile ikitoka nyuma kwa 2-0 dhidi ya Misri na kushinda 3-2 jana k...
DROGBA APIGA BAO LA BILA UBISHI IVORY IKILALA 2-1 KWA MABAO YA DZEKO
Saturday, May 31, 2014
MSHAMBULIAJI Edin Dzeko alifunga mabao timu yake ya taifa, Bosnia-Herzegovina ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ivory Coast usiku wa jan...
MSIBA MWINGINE TASNIA YA FILAMU …GEORGE TYSON AFARIKI KWA AJALI YA GARI
Saturday, May 31, 2014
Na Saidy Mdoe, DAR ES SALAAM HUU ni msiba mwingine mkubwa, tene pengine ni msiba mkubwa zaidi. Producer, Director na mwandishi wa filamu p...
KUNDI LA MBEYA CITY NOMAAA MICHUANO YA MIPYA YA CECAFA...AFC LEOPARD, ACADEMIE TCHITE ZATINGA NUSU FAINALI
Saturday, May 31, 2014
Wachezaji wa Academie Tchite ua Burundi wakishangilia baada ya kuitoa El Merreikh ya Sudan katika Robo Fainali ya michuano ya Nile Basin ...
RONALDO BADO GONJWA, WASIWASI WAIKUMBA URENO
Saturday, May 31, 2014
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo alikosa mazoezi ya Ureno jana na atakosa mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Ugiriki baada ya kulal...
TORRES AFUNGA HISPANIA IKIIUA 2-0 PASHA PASHA ZA KOMBE LA DUNIA
Saturday, May 31, 2014
MSHAMBULIAJI Fernando Torres jana amefunga bao Hispania ikishinda 2-0 dhidi ya Bolivia katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kujiandaa na...
ENGLAND YAIFUMUA PERU 3-0 PASHA PASHA YA KOMBE LA DUNIA
Saturday, May 31, 2014
ENGLAND jana imeifumua mabao 3-0 Peru katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia Uwanja wa Wembley. Ikicheza soka marinade ch...
MAYWEATHER ANAVYOZIDI KUWAFUNDISHA WATU MAISHA YA ANASA DUNIANI
Saturday, May 31, 2014
BONDIA Floyd Mayweather ameendelea kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kutoa video inayomuonyesha akiwa kwenye boti yake kali ya kisasa yeny...
BARCA YAMPA UKURUGENZI PUYOL
Saturday, May 31, 2014
KLABU ya Barcelona imeteua Nahodha wake wa zamani, Carles Puyol, ambaye maisha yake ya uwanjani yamekatishwa na maumivu ya goti mwishoni m...
Friday, May 30, 2014
FIFA YAWATAKA HISPANIA KUBADILISHA JEZI KWA SABABU WALIZOTOA SASA ZINAFANANA NA ZA UHOLANZI
Friday, May 30, 2014
HISPANI wametakiwa kubadilisha jezi zao Kombe la Dunia baada ya FIFA kuamua jezi zao za sasa zinafanana na za Uholanzi. Wasambazaji wa n...
WENGER ASAINI MKATABA MPYA ARSENAL AMBAO ATAPIGA KAZI HADI MEI 2017 KWA MSHARA MTAMU KINOMA
Friday, May 30, 2014
KOCHA Arsene Wenger amesaini Mkataba mpya wa mshahara wa Pauni Milioni 8 kwa mwaka Arsenal, amnao utamalizika mwaka 2017. Wenger alimal...
SIMBA YANGA ZALA DILI LA BENKI, SERIKALI YAONYA WAHUNI WALETA VURUMAI KLABUNI
Friday, May 30, 2014
Na Renatus Mahima, DAR ES SALAAM SERIKALI imetoa onyo kali kwa wapenzi na wanachama wa klabu kongwe nchini Simba na Yanga wanaoendekeza fu...
STARS WAFUNGIWA HOTELI HARARE, VISA VYAANZA MAPEMA
Friday, May 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, HARARE MSAFARA wa watu 30 wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars unaojumuisha wachezaji, benchi la ufundi um...
TEDDY SHERINGHAM AREJEA WEST HAM
Friday, May 30, 2014
KLABU ya West Ham imethibitisha kumteua Teddy Sheringham kuwa kocha wa washambuliaji wa timu hiyo ya Upton Park. Kocha Sam Allardyce ame...
U15 TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI AYG
Friday, May 30, 2014
Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM TANZANIA imeshika nafasi ya pili kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa mpira wa miguu...
SERIKALI YAMUONYA MALINZI AACHANE NA MPANGO WA KUBADILI JINA LA TAIFA STARS
Friday, May 30, 2014
Na Renatus Mahima, DAR ES SALAAM SERIKALI imelitaka Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuachana na mpango wa kubadilisha jina la timu ya taif...
RAGE AFUNGUKA MAMBO MAZITO BUNGENI, MENGI YA MAANA, MTU MZIMA YUKO SAWA!
Friday, May 30, 2014
Na Renatus Mahima, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage ameikosoa Sheria ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na ku...
Thursday, May 29, 2014
MKENYA WANYAMA SASA ATAKA KUHAMIA SPURS
Thursday, May 29, 2014
MWANASOKA wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama anataka kumfuata kocha Mauricio Pochettino aliyetoka Southampton na kutua Tottenham. Kiu...
Subscribe to:
Posts (Atom)