Na Renatus Mahima, Arusha
YANGA wamechemsha kuvunja rekodi ya mapato ya mlangoni ya Siimba kwenye Uwanja Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya mechi yao waliyoshinda 2-1 dhidi ya Oljoro JKT kwenye uwanja huo jana kuingiza Sh. milioni 25 tu.
Adam Brown, katibu mkuu wa Chama cha Soka Arusha, ameiambia BIN ZUBEIRY jijini hapa jana kuwa mechi ya juzi iliyokuwa na viingilio vya Sh. 15,000 Jukwaa Kuu na Sh.
5,000 mzunguko, imeingiza Sh. milioni 25 huku kila klabu ikipata mgawo wa Sh. milioni tano. Mechi ya Oljoro dhidi ya Simba iliyomalizika kwa wageni kuibuka na ushindi wa 1-0 kwenye uwanja huo Agosti 28 mwaka jana, iliingiza Sh, milioni 38.
YANGA wamechemsha kuvunja rekodi ya mapato ya mlangoni ya Siimba kwenye Uwanja Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya mechi yao waliyoshinda 2-1 dhidi ya Oljoro JKT kwenye uwanja huo jana kuingiza Sh. milioni 25 tu.
Adam Brown, katibu mkuu wa Chama cha Soka Arusha, ameiambia BIN ZUBEIRY jijini hapa jana kuwa mechi ya juzi iliyokuwa na viingilio vya Sh. 15,000 Jukwaa Kuu na Sh.
Yanga SC ikimenyana na Oljoro juzi |
0 comments:
Post a Comment