![]() |
Wachezaji wa Simba SC wakimpongeza mfungaji wa bao lao la kuongoza, Haroun Chanongo aliyevua jezi huku akifuta machozi ya kilio cha furaha |
![]() |
Mfungaji wa bao la kusawazisha la Yanga SC, Simon Msuva kushoto akishangilia na wenzake |
![]() |
Beki wa Simba SC, Mganda Joseph Owino kushoto akipiga kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |
![]() |
Kocha wa Simba SC, Mcroatia Zdravko Logarusic akitoa maelekezo kwa wachezaji wake |
![]() |
Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm akiwatazama vijana wake |
![]() |
Wachezaji wa Yanga SC baada ya kukabidhiwa Medali za ushindi wa pili Ligi Kuu iliyofikia tamati jana kwa Azam FC kutwaa ubingwa |
![]() |
Simon Msuva akimtoka Amri Kiemba |
![]() |
Hamisi Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' |
![]() |
Kikosi cha Yanga SC jana |
![]() |
Kikosi cha Simba SC jana |
0 comments:
Post a Comment