// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SABABU KUBWA TORRES ANABAKI CHELSEA HII HAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SABABU KUBWA TORRES ANABAKI CHELSEA HII HAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, April 04, 2014

    SABABU KUBWA TORRES ANABAKI CHELSEA HII HAPA

    AMEKUWA katika wakati mgumu kutokana na kupoteza makali yake ya kufunga baada ya kutua Chelsea kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 50 katika usajili wa Januari 31, mwaka 2011.
    Akiwa amefunga mabao tisa tu msimu huu, bao lake la mwisho katika Ligi Kuu England akiwa amefunga Januari 11, inamaanisha Fernando Torres - pamoja na wachezaji wenzake kadhaa walioshuka viwango Chelsea watakuwa mstari wa mbele kuuzwa kwa mujibu wa mipango ya kocha Jose Mourinho. 
    Kocha huyo Mreno alimkandia mshambuliaji huyo baada ya mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wakifungwa 3-1 na Paris Saint-Germain nchini Ufaransa na ameweka wazi atamuuza.
    Lakini Torres amepogwa picha akishiriki kampeni ya kuzitangaza jezi mpya za Chelsea ijulikanayo kama 'Forever Blue', na je, hiyo maana yake Mspanyola huyo atabaki Stamford Bridge msimu ujao?

    Atabaki: Torres akiwa katika picha ya tangazo la jezi mpya za Chelsea kwa ajili ya msimu ujao
    Campaign: Fernando Torres is a key part of the marketing campaign to launch Chelsea's new kit for next season - does this mean he'll stay at the club?
    Kampeni: Fernando Torres ametumika katika kampeni ya uzinduzi wa jezi mpya za Chelsea, hiyo inamaanisha atabaki katika klabu hiyo?
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SABABU KUBWA TORRES ANABAKI CHELSEA HII HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top