// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ROONEY FITI KABISA, AWAPASHIA KIKAMILIFU BAYERN MUNICH LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ROONEY FITI KABISA, AWAPASHIA KIKAMILIFU BAYERN MUNICH LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, April 08, 2014

    ROONEY FITI KABISA, AWAPASHIA KIKAMILIFU BAYERN MUNICH LEO

    MSHAMBULIAJI Wayne Rooney amerejesha matumaini ya Manchester United kutinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuanza mazoezi kwa ajili Robo Fainali ya pili dhidi ya mabingwa watetezi, Bayern Munich Uwanja wa Allianz Arena kesho.
    Rooney alikosa mechi ya Ligi Kuu England United ikiifunga mabao 4-0 Newcastle mwishoni mwa wiki kutokana na maumivu ya mguu, lakini sasa kuna uwezekano kesho akacheza
    Ryan Giggs pia alifanya mazoezi baada ya kukosa mechi dhidi ya Newcastle, lakini Marouane Fellaini, ambaye alitolewa nje Uwanja wa St James Park baada ya kuumia na Rafael hawakushiriki mazoezi leo.
    Baada ya sare ya 1-1 nyumbani, United sasa wanatakiwa kushinda ugenini dhidi ya Bayern ili kutinga Nusu Fainali.
    Mazoezi makali: Rooney akifanya mazoezi kuelekea mchezo wa marudiano na Bayern Munich
    Put through his paces: Rooney plays a full part in training
    Rooney alishiriki mazoezi kikamilifu
    Looking good: Rooney looks to put his injury problems behind him
    Rooney ameonekana kusahau kabisa kuhusu maumivu
    At ease: Rooney played a full part in training
    Rooney ameonekana yuko fiti kwa ajili ya mchezo huoGame for a laugh: Manchester United manager David Moyes looks relaxed ahead of the trip to Munich
    Kocha wa Manchester United, David Moyes ameonekana kufurahia kurejea kwa Rooney
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY FITI KABISA, AWAPASHIA KIKAMILIFU BAYERN MUNICH LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top