• HABARI MPYA

        Thursday, April 24, 2014

        REAL MADRID NA BAYERN MUNICH KATIKA PICHA JANA BERNABEU

        Juu kwa juu: Cristiano Ronaldo (katikati) akiwa ameruka juu zaidi ya Alaba (wa pili kushoto) na Dante kuwania mpira wa juu katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, Hispania. Real ilishinda 1-0.At close quarters: Bayern Munich's Franck Ribery (left) is closed down by Real's Daniel Carvajal
        Franck Ribery wa Bayern Munich (kushoto) akimfukuzia Daniel Carvajal wa RealPulling the trigger: Benzema celebrates in a unique way after his goal at the Santiago Bernabeu
        Mfungaji wa bao pekee la Real, Karim Benzema akishangilia baada ya kufunga Uwanja wa Santiago BernabeuHigh five: Ronaldo is replaced in the 74th minute by Welshman Gareth Bale
        Kula gwala, kamalizie kazi: Ronaldo akimpisha Gareth Bale dakika ya 74Helping hand: Bayern Munich's Philipp Lahm and Real's Gareth Bale (right) challenge for a header
        Philipp Lahm na Gareth Bale (kulia wakigombea mpira wa juuDiving in: Bayern's Brazilian defender Dante (left) makes the tackle on Real's Angel di Maria
        Beki Mbrazil wa Bayern, Dante (kushoto) akipitia mpira miguuni mwa Angel di Maria wa RealAppeal: Bayern Munich's Thomas Muller (centre) argues for a penalty to no avail
        Thomas Muller (katikati) wa Bayern akililia penaltiShut eye: Real Madrid's Sergio Ramos (left) clears the ball as Bayern's Bastian Schweinsteiger chases
        Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos (kushoto) akiosha mbele ya mshambuliaji wa Bayern, Bastian SchweinsteigerOn the ball: Schweinsteiger looks to challenge Real Madrid midfielder Xabi Alonso (centre)
        Schweinsteiger akimdhibiti kiungo wa Real Madrid, Xabi Alonso (katikati)Acrobatics: Pepe (left) and Sergio Ramos (centre) rise high to clear the ball from Ribery
        Mabeki wa Real, Pepe (kushoto) na Sergio Ramos (katikati) wakienda hewani kuondosha hatarini mpira wa juu kutoka kwa Ribery
        Pulling no punches: Iker Casillas (right) looks to clear the ball as Javier Martinez goes for the header
        Kipa wa Real, Iker Casillas (kulia) akiokoa mpira kichwani kwa Javier Martinez Charge: Cristiano Ronaldo advances with the ball as he leaves Jerome Boateng in his wake
        Cristiano Ronaldo akimtoka Jerome Boateng
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: REAL MADRID NA BAYERN MUNICH KATIKA PICHA JANA BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry