// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAMBO YALIVYOKUWA MLANDIZI JANA GOMA LA AZAM NA RUVU LIKILALA HADI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAMBO YALIVYOKUWA MLANDIZI JANA GOMA LA AZAM NA RUVU LIKILALA HADI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, April 10, 2014

    MAMBO YALIVYOKUWA MLANDIZI JANA GOMA LA AZAM NA RUVU LIKILALA HADI LEO

    Mashabiki wa soka waliosafiri kutoka Dar es Salaam jana kwenda kuishangilia Azam FC iliyokuwa imenyane na wenyeji Ruvu Shooting Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani, Pwani jana walikubali kuloana na mvua kwa ajili ya burudani hiyo. Hata hivyo, mchezo huo haukufanyika kutokana na mvua kubwa kunyesha kiasi cha Uwanja kujaa maji na sasa utafanyika jioni ya leo.
    Mwamvuli walijifunika watu kibao
    Wengine hawakujali kabisa mvua na walikuwa wakicheza na kuimba
    Wakubwa walikuwa eneo la VIP, mvua haikuwahusu
    Viongozi wa Azam FC wakikagua Uwanja
    Marefa wakikagua Uwanja huku mvu ikiendelea
    Wachezaji wa Azam FC hawakuwahi hata kushuka kwenye basi lao
    Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa 'Father'

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMBO YALIVYOKUWA MLANDIZI JANA GOMA LA AZAM NA RUVU LIKILALA HADI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top