// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ILICHOKIFANYA AZAM JANA MABATINI, ACHA WATU ROHO ZIWAUME! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ILICHOKIFANYA AZAM JANA MABATINI, ACHA WATU ROHO ZIWAUME! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, April 11, 2014

    ILICHOKIFANYA AZAM JANA MABATINI, ACHA WATU ROHO ZIWAUME!

    Mfungaji wa bao la tatu la Azam FC katika ushindi wa 3-0 jana dhidi ya wenyeji Ruvu Shooting Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani, Kipre Tchetche akimtoka beki wa timu hiyo ya Jeshi katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. u
    La kwanza; Gaudence Mwaikimba kushoto akishangilia na Kipre Tchetche baada ya kufunga bao la kwanza jana
    Mwaikimba akipongezwa na wenzake
    Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akipiga mpira kwa kichwa mbele ya beki wa Ruvu
    Mwaikimba akiwatoka mabeki wa Ruvu
    Mwaikimba jana alifanya kazi nzuri na kutoa mchango mkubwa mkubwa katika ushindi wa Azam
    John Bocco akiteleza kupiga mpira
    Mfungaji wa bao la pili la Azam FC, Himid Mao akimtoka beki wa Ruvu
    John Bocco ameanguka chini huku beki wa Ruvu akiondosha mpira hatarini
    Kiungo mbunifu, Salum Abubakar Salum 'Sure Boy' akifanya vitu vyake katikati ya wachezaji wa Ruvu
    Kikosi cha Azam FC jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ILICHOKIFANYA AZAM JANA MABATINI, ACHA WATU ROHO ZIWAUME! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top