// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BONDIA WA THAILAND ATUA DAR KUZIPIGA NA MIYEYUSHO JUMAPILI PTA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BONDIA WA THAILAND ATUA DAR KUZIPIGA NA MIYEYUSHO JUMAPILI PTA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, April 10, 2014

    BONDIA WA THAILAND ATUA DAR KUZIPIGA NA MIYEYUSHO JUMAPILI PTA

    Bondia kutoka Thailand, Sukkasem Kokieyongyuth kushoto baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tayari kwa pambano la kimataifa dhidi ya Mtanzania, Francis Miyeyusho Jumapili wiki hii ukumbi wa PTA, Sababa mjini Dar es Salaam. Wengine kulia ni wadau wa ndondi Agapita Mnazaleti kulia na Rajab Mohamed 'Danger Boy' katikati.
    Kokietyuth akiwa na wadau wengine, wa pili kulia ni Rais wa PS, Emmanuel Mlundwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BONDIA WA THAILAND ATUA DAR KUZIPIGA NA MIYEYUSHO JUMAPILI PTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top