// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ASHANTI UNITED WAMPA CHUMBA YAHAYA WA LADY JAYDEE ILALA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ASHANTI UNITED WAMPA CHUMBA YAHAYA WA LADY JAYDEE ILALA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, April 11, 2014

    ASHANTI UNITED WAMPA CHUMBA YAHAYA WA LADY JAYDEE ILALA

    Shabiki wa Ashanti United ya Ilala, akiwa amevaa fulana iliyoandikwa 'Yahaya apata chumba ilala', maneno ambayo yanatokana na wimbo maarufu wa mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' uitwao Yahya. Hii ilikuwa ni katika mechi dhidi ya Mbeya City Aprili 5 mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    Lady Jaydee kushoto akiwa na King Kiboya katika moja ya maonyesho yake.Jide kesho atazindua video ya wimbo wake mpya uitwao Nasimama katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Dar es Salaam. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASHANTI UNITED WAMPA CHUMBA YAHAYA WA LADY JAYDEE ILALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top