// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 21 ZA KUCHEZA RCL ZAJULIKANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 21 ZA KUCHEZA RCL ZAJULIKANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, April 04, 2014

    21 ZA KUCHEZA RCL ZAJULIKANA

    Na Boniface Wambura, Dar es Salaam
    TIMU 21 kati ya 27 zitakazocheza Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) kutafuta tiketi ya kucheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu ujao tayari zimejulikana.
    Timu hizo ni Abajalo SC (Dar es Salaam), AFC (Arusha), African Sports (Tanga), Bulyanhulu FC (Shinyanga), Geita Veterans (Geita), JKT Mafinga (Iringa), JKT Rwamukoma (Mara), Kariakoo SC (Lindi), Kiluvya United (Pwani), Milambo SC (Tabora) na Mshikamano FC (Dar es Salaam).
    Abajalo itashiriki RCL msimu huu

    Nyingine ni Mvuvumwa FC (Kigoma), Navy SC (Dar es Salaam), Njombe Mji (Njombe), Pachoto Shooting Stars (Mtwara), Panone FC (Kilimanjaro), Singida United (Singida), Tanzanite (Manyara), Town Small Boys (Ruvuma), Ujenzi FC (Rukwa) na Volcano (Morogoro).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 21 ZA KUCHEZA RCL ZAJULIKANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top