
Wednesday, April 30, 2014

CHELSEA imeaga Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufungwa mabao 3-1 na Atletico Madrid ya Hispania usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge, Londo...
BREAKING NEWS; FRANK DOMAYO NAYE AANGUKA MIAKA MIWILI AZAM FC, JANGWANI WATAOMBA POO MWAKA HUU
Wednesday, April 30, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam KIUNGO mkabaji wa Yanga SC, Frank Domayo amesaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa wapya wa ...
KATIBU MKUU WA FIFA AWASILI KESHO DAR
Wednesday, April 30, 2014
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Jerome Valcke anawasili nchini kesho (Mei 1 mwaka huu) ambapo atafungua semina ya m...
POLISI PWANI YACHAPA TANESCO 3-0
Wednesday, April 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, Kibaha Timu ya polisi mkoa wa pwani jana imeibuka kidedea kwenye mchezo maalum wa kuadhimisha sherehe za wafanyakazi z...
MAYWEATHER AONYESHA JEURI YA FEDHA, SASA ATAKA KUNUNUA TIMU MAREKANI
Wednesday, April 30, 2014
KAMA anavyotamba katika ngumi za kulipwa hadi sasa akiwa hajapoteza pambano licha ya kupigana na mabondia wakali duniani, Floyd Mayweather...
SABABU TOSHA KWA NINI RONALDO BORA DUNIA NZIMA, HAKUNA CHA MESSI WALA NANI
Wednesday, April 30, 2014
NYOTA Cristiano Ronaldo amempoteza Lionel Messi kwa mara nyingine tena, baada ya usiku wa jana kuvunja rekodi ya mabao ya Muargentina huyo...
REAL MADRID 'ILIVYOIHARIBU SURA' BAYERN MUNICH JANA ALLIANZ ARENA
Wednesday, April 30, 2014
+25 Shughuli imekamilika: Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi wao wa mabao 4-0 jana dhidi ya Bayern Munich katika N...
UMEWAHI KUTOKEA UONGOZI MBOVU YANGA SC KULIKO HUU WA SASA?- 3
Wednesday, April 30, 2014
TUNAINGIA sehemu ya tatu ya makala haya ya takafuri ya kina ndani ya klabu ya Yanga SC, tangu ikiwa chini ya Mwenyekiti marehemu Tarbu Mang...
Tuesday, April 29, 2014
REAL YAISUKUTUA ‘KAVU KAVU’ BAYERN MUNICH, YAITANDIKA 4-0 NA KUIVUA UBINGWA WA ULAYA
Tuesday, April 29, 2014
KWISHA habari yao! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuhusu Bayern Munich baada ya usiku huu kutandikwa mabao 4-0 na Real Madrid katika Nusu F...
MAZEMBE NA AS VITA ZOTE ZA DRC ZAPANGWA KUNDI MOJA LIGI YA MABINGWA, NI VITA YA WEUSI MWAKA HUU
Tuesday, April 29, 2014
Na Prince Akbar, Dar es Salaam WAWAKILISHI wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), TP Mazembe na AS Vita wamepangwa kundi moja, A katik...
AL AHLY YAPANGWA KUNDI LA ‘KIFO’ KOMBE LA SHRIKISHO, KUNA ETOILE NA SEWE SPORT YA IVORY COAST
Tuesday, April 29, 2014
Na Princess Asia, Dar es Salaam VIGOGO wa Misri, Al Ahly wamepangwa katika Kundi B la Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2014 pamoja na Sewe...
Subscribe to:
Posts (Atom)