// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NIYONZIMA, MBUYU TWITE NJE KABISA YANGA, NGASSA AANZIA BENCHI, MWADINI NAYE ATUPWA NJE AZAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NIYONZIMA, MBUYU TWITE NJE KABISA YANGA, NGASSA AANZIA BENCHI, MWADINI NAYE ATUPWA NJE AZAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, March 19, 2014

    NIYONZIMA, MBUYU TWITE NJE KABISA YANGA, NGASSA AANZIA BENCHI, MWADINI NAYE ATUPWA NJE AZAM

    Na Saada Akida, Dar es Salaam
    YANGA SC imemuanzishia benchi Mrisho Ngassa katia mchezo wake wa jioni hii dhidi ya Azam FC Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati Wanyarwanda beki Mbuyu Twite na kiungo Haruna Niyonzima hawamo kabisa kwenye orodha ya kikosi cha timu hiyo.
    Benchi; Mrisho Ngassa kushoto ameanzia benchi

    Kikosi cha Yanga SC; Juma Kaseja, Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Frank Domayo, Simon Msuva, Hassan Dilunga, Didier Kavumbangu, Hamisi Kiiza na Emmanuel Okwi.
    Benchi; Ally Mustafa ‘Barthez’, David Luhende, Athumani Iddi ‘Chuji’, Nizar Khalfan, Mrisho Ngassa, Jerry Tegete na Hussen Javu.
    Azam FC; Aishi Manula,Erasto Nyoni, Gadiel Michael, Said Mourad, Kipre Balou, Himid Mao, Salum Abubakar, John Bocco, Kipre Tchetche na Khamis Mcha.
    Benchi; Mwadini Ali, Luckson Kakolaki, Waziri Salum, Mudathir Yahya, Brison Raphael, Gaudence Mwaikimba, Seif Karihe na Kevin Friday.   Mechi hiyo itaanza Saa 10:30 jioni.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NIYONZIMA, MBUYU TWITE NJE KABISA YANGA, NGASSA AANZIA BENCHI, MWADINI NAYE ATUPWA NJE AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top