// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN CITY YAREJEA KWA HASIRA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUTOLEWA ULAYA, YAIFUMUA HULL CITY 2-0 KOMPANY AKILIMWA NYEKUNDU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN CITY YAREJEA KWA HASIRA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUTOLEWA ULAYA, YAIFUMUA HULL CITY 2-0 KOMPANY AKILIMWA NYEKUNDU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 15, 2014

    MAN CITY YAREJEA KWA HASIRA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUTOLEWA ULAYA, YAIFUMUA HULL CITY 2-0 KOMPANY AKILIMWA NYEKUNDU

    MANCHESTER City imerudi nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Hull City jioni hii.
    Ikitoka kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na Barcelona, timu ya Manuel Pellegrini leo ilipania kubeba pointi tatu katika Ligi Kuu na shukrani kwao wafungaji wa mabao hayo, David Silva dakika ya 14 na Edin Dzeko dakika ya 90. Lakini City ilimaliza pungufu baada ya Nahodha wake, Vincent Kompany kutolewa nje kwa nyekundu dakika ya 10 baada ya kumchezea rafu mshambuliaji wa Hull City, Nikica Jelavic. 
    Na kwa ushindi huo,City inatimiza pointi 60 baada ya kucheza mechi 27 na kurejea nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea yenye pointi 66 baada ya mechi 29. 

    Wote pamoja: Wachezaji wa City wakishangilia ushindi wao leoMarching orders: Vincent Kompany shows his disbelief after being shown a straight red by referee Lee Mason
    Marching orders: Vincent Kompany shows his disbelief after being shown a straight red by referee Lee Mason
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAREJEA KWA HASIRA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUTOLEWA ULAYA, YAIFUMUA HULL CITY 2-0 KOMPANY AKILIMWA NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top