// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BARCA YAMALIZA BIASHARA VIZUUURI, MAN CITY YAFA USINGIZINI CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BARCA YAMALIZA BIASHARA VIZUUURI, MAN CITY YAFA USINGIZINI CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, March 13, 2014

    BARCA YAMALIZA BIASHARA VIZUUURI, MAN CITY YAFA USINGIZINI CAMP NOU

    BARCELONA imemalizia vizuri biashara baada ya usiku wa jana kuichapa Manchester City mabao 2-1 na kutinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1.
    Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Camp Nou, mabao ya Barca yalifingwa na Lionel Messi dakika ya 67 na dani Alves dakika ya 90, wakati bao City lilifungwa na nahodha wake, Vincent Kompany dakika ya 89.
    Man City iliyofungwa 2-0 Uwanja wa Etihad katika mechi ya kwanza ya hatua ya 16 Bora, ilipata pigo jana dakika ya 78 baada ya mchezaji wake, Pablo Zabaleta kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
    Katika mchezo mwingine, PSG nayo ilimalizia vizuri biashara baada ya kuifunga Bayer Leverkusen mabao 2-1 Uwanja wa Pac de Princes hivyo kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 6-1, baada ya awali kushinda 4-0 ugenini.
    Biashara imeisha: Lionel Messi akisherehekea na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza janaDink: Messi slips the ball over Joe Hart to give Barcelona a 3-0 aggregate lead
    Messi akimtungua kipa Joe Hart to Thanks: Messi celebrates in front of the Nou Camp crowd after his opening goal
    Asanteni: Messi akiwapungia mkono mashabiki wa Barca Uwanja wa Nou Camp jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCA YAMALIZA BIASHARA VIZUUURI, MAN CITY YAFA USINGIZINI CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top