CHELSEA imepunguzwa kasi jana katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa bao 1-0 na Aston Villa Uwanja wa Villa park.
Timu ya Jose Mourinho jana ilipoteza wachezaji waiwli baada ya Willian (dakika ya 68) na Ramires (dakika ya 90) kutolewa nje kwa kadi nyekundu na bao pekee la Villa lilifungwa na Fabian Delph dakika ya 82.
Kocha Mourinho pia alipandishwa jukwaani jana.
Matokeo hayo yanaifanya Chelsea ibaki na pointi 60 baada ya kucheza mechi 30, ikiwa mbele ya Manchester City yenye pointi 60 baada ya mechi 27.
0 comments:
Post a Comment