
Monday, March 31, 2014

Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam HAMISI Mwinjuma au Mwana FA ana nyimbo tatu mpya zilizokamilika, lakini hajui aanze kuitambulisha ipi. ...
AY AKAMILISHA VIDEO YA ASANTE, IMEPAMBWA NA MODO WA KENYA
Monday, March 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam AMBWENE Yesaya au AY amekamilisha video ya wimbo wake uitwao Asante na sasa utaanza kuonekana kwenye vi...
ISHA MASHAUZI AIBUKA NA KITU SURA SIYO ROHO
Monday, March 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam MWANAMUZIKI na kiongozi wa kundi la Mashauzi Classic, Isha Mashauzi ametoa nyimbo mpya mbili, ambazo m...
SUNGURA MJANJA WA MASHAUZI AACHIA MPYA
Monday, March 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam MWIMBAJI chipukizi wa Taarab anayeinukia vizuri nchini, Saida Ramadhani ‘Sungura Mjanja’ ameibuka na wi...
WASANII KATIKA SEMINA YA TUZO ZA KILI LEO
Monday, March 31, 2014
Mwanamuziki wa bendi ya Mapacha Watatu, Khalid Chokora akizungumza wakati wa semina ya wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro ch...
SIMBA NA AZAM YAINGIZA MILIONI 26
Monday, March 31, 2014
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Azam na Simba iliyochezwa jana (Machi 30 mwaka huu) Uwanja w...
TFF YATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA DK HEMED MZIRAY
Monday, March 31, 2014
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha daktari wa tiba ya michezo, Dk. Hem...
SIMBA SC NDIYE MWANACHAMA PEKEE WA TFF ALIYEWASILISHA MABADILIKO YA KATIBA
Monday, March 31, 2014
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana Machi 30 mwaka hu...
WAHABESHI WAMZUIA KOCHA MPYA STARS KUJA DAR
Monday, March 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam KOCHA mpya wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mholanzi Martinus Ignatius ‘Mart’ Nooij sa...
TIMU YA OKWI, ETOILE YAPETA AFRIKA
Monday, March 31, 2014
ETOILE du Sahel ya Tunisia imeitoa SuperSport United ya Afrika Kusini kwa jumla ya mabao 5-1 katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juz...
ERITREA YAJITOA AFCON 2015
Monday, March 31, 2014
SHIRIKISHO la Soka Eritrea limelitaarifu Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kujitoa kwenye michuano ya 30 ya Kombe la Mataifa ya Afrika amba...
ZAMALEK YAIFUMUA 5-0 NKANA, YATINGA NANE BORA LIGI YA MABINGWA...MWAKA HUU KAZI IPO HIZO TIMU ZILIZOFUZU
Monday, March 31, 2014
Na Salum Esry, Cairo KLABU ya Zamalek ya Misri imefanikiwa kutinga Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya jana kuifunga Nkan...
SERIKALI YAKUSANYA BILIONI 215 KWA NUSU MWAKA, NI KATIKA MPANGO WA BIG RESULTS NOW
Monday, March 31, 2014
Na Mwandishi Wetu, Mlandizi SERIKALI imekusanya jumla ya shilingi bilioni 215.0 katika kipindi cha Julai hadi Disemba, 2013 kutokana na h...
Sunday, March 30, 2014
LIVERPOOL 'MABOSI' LIGI KUU ENGLAND, WAIFUMUA 4-0 SPURS NA KUREJEA KILELENI
Sunday, March 30, 2014
KLABU ya Liverpool imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya Tottenham Uwanja wa Anfield jioni hii. Kab...
YANGA SC HATARINI KUKOSA MWANA NA MAJI YA MOTO, MBEYA CITY WAWANIA NAFASI YAO
Sunday, March 30, 2014
Na Prince Akbar, Dar es Salaam YANGA SC sasa wapo hatarini kukosa mwana na maji ya moto- hiyo inafuatia Mbeya City kuilaza Prisons bao 1-0...
YANGA SC CHALI MKWAKWANI, YAPIGWA 2-1 NA MGAMBO PUNGUFU
Sunday, March 30, 2014
Na Baby Akwitende, Tanga YANGA SC imekula ngwala katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuchapwa mabao 2-1 n...
JOHN BOCCO AISOGEZA AZAM FC JIRANI KABISA NA UBINGWA
Sunday, March 30, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam AZAM FC imezidi kupiga kasi katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya jioni h...
MOURINHO SASA AWAGEUKIA MADOGO WAOKOTA MIPIRA, ASEMA WANATUMIWA KUIKOSESHA CHELSEA UBINGWA
Sunday, March 30, 2014
KOCHA Jose Mourinho amewalalamikia waokota mipira wanatumiwa kukwamisha kampeni za Chelsea kutwaa ubingwa na kiasi fulani amekata tamaa za...
JAPHET KASEBA NA THOMAS MASHALI KATIKA PICHA JANA PTA
Sunday, March 30, 2014
Bondia Thomas Mashali kushoto akimuadhibu mpinzani wake, Japhet Kaseba kulia usiku wa jana katika pambano la uzito wa Light Heavy kuwania...
YA BABU WA YANGA YAMETIMIA, AL AHLY WATEMESHWA MZIGO, WAKUNGUTWA TATU NYUMBANI NA WALIBYA
Sunday, March 30, 2014
Na Salum Esry, Cairo UTABIRI wa kocha Mkuu wa Yanga SC, Hans van der Pluijm umetimia- baada ya mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrik...
R.I.P. AFRICA BAMBATAA, MUZIKI WA DANSI ULIKUPENDA, KUSAGA NA RUGE WALIKUPENDA ZAIDI
Sunday, March 30, 2014
MUONGO uliopita muziki wa dansi ulikuwa juu na wengi walivutiwa kuwekeza kwenye biashara ya bendi. Hiyo ilisaidia mno vijana wengi wenye v...
Subscribe to:
Posts (Atom)