// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC WALIVYOIKATA 'UTEKE' MBEYA CITY TAIFA JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC WALIVYOIKATA 'UTEKE' MBEYA CITY TAIFA JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 03, 2014

    YANGA SC WALIVYOIKATA 'UTEKE' MBEYA CITY TAIFA JANA

    Mshindi wa mechi; Mfungaji wa bao pekee la ushindi la Yanga SC katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana, Mrisho Khalfan Ngassa akishangilia baada ya kufunga. Mbeya City ilfungwa kwa mara ya kwanza jana tangu upande Ligi Kuu msimu huu.
    Mshambuliaji wa Mbeya City, Paul Nonga akimtoka beki wa Yanga Mbuyu Twite
    Mshambuliaji wa Mbeya City, Peter Mapunda akimtoka kiungo wa Yanga Sc, Frank Domayo

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu akigombea mpira wa juu na beki wa Mbeya City Hassan Mwasapili kushoto

    Beki aliyehamishiwa winga Yanga SC, David Luhende akimtoka beki wa Mbeya City, Yussuf Abdallah

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akimiliki mpira pembeni ya beki wa Mbeya City,  Deogratius Julius

    Hamisi Kiiza aliingia kipindi cha pili akakosa bao moja la wazi na kufunga moja, ambalo refa alilikataa

    Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mbeya City

    Beki wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' akimdhibiti mshambuliaji wa Mbeya City, Paul Nonga
    David Luhende na Deogratius Julius

    Kikosi cha Yanga SC jana

    Kikosi cha Mbeya City

    Shabiki huyu wa Mbeya City alizimia jana baada ya Yanga kupata bao

    Mashabiki wa Yanga SC kwa raha zao jana

    Utulivu na ulinzi timamu; Maofisa wa Jeshi la Polisi mbele ya jukwaa la mashabiki wa Mbeya City jana 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOIKATA 'UTEKE' MBEYA CITY TAIFA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top