![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Emmanuel Okwi kushoto akimtoka beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0. |
![]() |
Katikati ya dimba; Mrisho Ngassa jana alikuwa kiungo mchezeshaji na alifanya kazi nzuri sana |
![]() |
Beki wa Ruvu Shooting, Stefano Mwasyika kulia akijaribu kumdhibiti winga wa Yanga SC, Simon Msuva |
![]() |
Emannuel Okwi kulia akimkimbiza beki wa Ruvu Shooting |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Said Bahanuzi kulia akimtoka beki wa Ruvu |
![]() |
Hamisi Kiiza wa Yanga SC kushoto akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting |
![]() |
Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ruvu |
![]() |
Hamisi Kiiza akiruka kufumua shuti jana |
![]() |
Didier Kavumbangu wa Yanga SC kulia akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Ruvu Shooting |
![]() |
Wanaume waliopiga mtu 7-0 jana Taifa |
![]() |
Didier Kavumbangu jana alifunga mabao mawili |
![]() |
Kijana amerudi; Simon Msuva jana alicheza vizuri |
![]() |
Okwi akizungumza na mashabiki baada ya mechi jana |
0 comments:
Post a Comment