// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MESSI KWELI MKALI LAKINI SI ENGLAND...HAJAWAHI KUFUNGA BAO TANGU AMEANZA KUCHEZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MESSI KWELI MKALI LAKINI SI ENGLAND...HAJAWAHI KUFUNGA BAO TANGU AMEANZA KUCHEZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, February 18, 2014

    MESSI KWELI MKALI LAKINI SI ENGLAND...HAJAWAHI KUFUNGA BAO TANGU AMEANZA KUCHEZA

    MAKALI yake ya kufunga mabao yamemfanya awe na rekodi ya kipekee nchini Hispania – lakini huwezi amini Lionel Messi hajawahi kufunga mabo katika Uwanja wowote wa Ligi Kuu ya England.
    Katika mechi nane alizocheza tangu mwaka 2006 kwenye viwanja vya Stamford Bridge, Anfield, Old Trafford na Emirates, nyota huyo wa Argentina hajaweza kutikisa nyavu popote.
    Usiku wa leo kwenye Uwanja wa Etihad, Messi atakuwa anajaribu kuvunja rekodi yake ya kucheza dakika 717 bila kufunga bao.
    Patupu: Katika saa 12 za kucheza kwenye viwanja vya timu kubwa England, Lionel Messi hajaweza kuifungia bao Barcelona
    No hiding place: Messi makes his first appearance at the City of Manchester Stadium on Tuesday night and will be bidding to end his eight-game barren spell
    Messi atacheza mechi ya kwanza kwenye Uwanja wa Man City usiku wa leo

    REKODI YA MESSI VIWANJA VYA LIGI KUU ENGLAND

    2006: 16 Bora- Chelsea 1-2 Barca ilishinda
    2006: Makundi– Chelsea 1-0 Barca ilifungwa
    2007: 16 Bora – Liverpool 0-1 Barca ilishinda
    2008: Robo Fainali – Man Utd 1-0 Barca ilifungwa
    2009: Nusu Fainali – Chelsea 1-1 Barca ilitoa sare
    2010: Kufuzu – Arsenal 2-2 Barca ilitoa sare
    2011: 16 Bora – Arsenal 2-1 Barca ilifungwa
    2012: Nusu Fainali – Chelsea 1-0 Barca ilifungwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI KWELI MKALI LAKINI SI ENGLAND...HAJAWAHI KUFUNGA BAO TANGU AMEANZA KUCHEZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top