Mashidano haya ni moja ya mikakati ya Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kukuza soka ya Tanzania
Mechi za mpango wa kuboresha Taifa Stars kati ya mikoa na mikoa wiki hii itakuwa kama ifuatavyo; Februari 25 Njombe vs Ruvuma (Uwanja wa Njombe) Kinondoni vs Ilala (Uwanja wa Karume) Februari 26 Morogoro vs Pwani (Uwanja wa Jamhuri) Geita vs Kagera (Uwanja wa Geita) Kilimanjaro vs Tanga (Uwanja wa Ushirika) Iringa vs Mbeya (Uwanja wa Samora) Shinyanga vs Simiyu (Uwanja wa Kambarage) Lindi vs Mtwara (Uwanja wa Ilulu) Februari 27 Temeke vs Kinondoni (Uwanja wa Karume)
Simba make good start beating Bravos do Maquis
-
Tanzanian side Simba SC have made a good start in Group A of the 2024/2025
TotalEnergies CAF Confederation Cup. Coach Fadlu Davids’ side picked a
narrow ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment