
Friday, February 28, 2014

Na Baby Akwitende, Dar es Salaam TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imetolewa katika hatua za Awali za Kombe la Mataifa ya ...
AL AHLY WAKIJIFUA UWANJA WA TAIFA JIONI HII
Friday, February 28, 2014
Wachezaji wa Al Ahly ya Misri wakifanya mazoezi jioni hii Uwanja wa Taifam Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza kuwania kutinga Ha...
UCHAGUZI MKUU TASWA KUFANYIKA WATER FRONT
Friday, February 28, 2014
Na Dina Ismail, Dar es Salaam UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utafanyika katika ukumbi wa NSSF ...
MECHI YA SIMBA NA PRISONS YASOGEZWA MBELE
Friday, February 28, 2014
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho madogo ya ratiba kwa mechi mbili za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na moja ya Ligi Daraja ...
KILA LA KHERI YANGA MECHI YA LIGI YA MABINGWA
Friday, February 28, 2014
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linaitakia kila la kheri yake kwenye mechi yake ya kwanza ya raundi ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
MALINZI AWATIA KWENYE KAMATI MOJA RUGE MUTAHABA NA HOYCE TEMU
Friday, February 28, 2014
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameunda kamati ya watu tisa kuratibu maadhimis...
ETOILE SASA WATAKA KULIPWA BILIONI 3.1 ISHU YA OKWI, WAPO KIZIMBANI FIFA LEO
Friday, February 28, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam ETOILE Sportive du Sahel ya Tunisia imefufua kesi ya mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mganda, Emmanue...
ADEBAYOR AIPELEKA MATAWI YA JUU SPURS ULAYA
Friday, February 28, 2014
KOCHA Tim Sherwood aliwataka vijana wake wafanye kazi na Emmanuel Adebayor ameiongoza vizuri kazi hiyo usiku wa kuamkia leo baada ya kuifu...
Thursday, February 27, 2014
PINTO NA GEORGE JOHN KUCHUANA UENYEKITI TASWA, MMOJA APEPERUSHWA NA PEPO ZA KUSI
Thursday, February 27, 2014
Na Dina Ismail, Dar es Salaam WAOMBAJI 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamat...
TWIGA STARS IMEIVA, SHEPOLOPOLO YATUA
Thursday, February 27, 2014
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam WAKATI Zambia (Shepolopolo) imewasili leo mchana (Februari 27 mwaka huu), Twiga Stars imesema mazoezi y...
WACHEZAJI YANGA WAENGULIWA TAIFA STARS, IVO NAYE ATEMWA, KADO ACHUKUA NAFASI, KIM PAULSEN ATUPIWA RASMI VIRAGO VYAKE
Thursday, February 27, 2014
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Madadi amewaondoa wachezaji w...
DROGBA ALIVYOWAFANYA CHELSEA JANA...WE ACHA TU!
Thursday, February 27, 2014
+17 Mshambuliaji wa Galatasaray, Didier Drogba kushoto akipambana na Nahodha wa Chelsea, John Terry katika mchezo wa kwanza 16 ...
RONALDO, BALE NA BENZEMA KILA MMOJA AFUNGA MBILI REAL IKIWAFUMUA WAJERUMANI 6-1 KWAO
Thursday, February 27, 2014
WINGA Gareth Bale ameendelea kung'ara Real Madrid akiiwezesha timu hiyo kutanguliza mguu mmoja Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya kuf...
CHELSEA 1-1 NA GALATASARAY ULAYA
Thursday, February 27, 2014
CHELSEA imepata sare ya ugenini ya kufungana bao 1-1 na wenyeji Galatasaray katika mchezo wa kwanza wa 16 Bora Ligi ya Mabingwa Bora Ulaya...
Wednesday, February 26, 2014
ADAKE NANI YANGA JUMAMOSI, KASEJA AU DIDA?
Wednesday, February 26, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam JUMA Kaseja alidaka bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa Yanga SC ikishinda mabao 7-0 dhidi ya Komorozin...
AZAM YAREJEA KILELENI LIGI KUU, MWAIKIMBA ARUDI NA MOTO
Wednesday, February 26, 2014
Na Princess Asia, Dar es Salaam AZAM FC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ash...
ZAMBIA WATUA KUIKABILI TWIGA STARS, SYMBION KUSAIDIA PROGRAMU ZA VIJANA TFF
Wednesday, February 26, 2014
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam TIMU ya taifa ya Zambia (Shepolopolo) inatua nchini kesho mchana (Februari 27 mwaka huu) kwa ajili ya m...
IVO MAPUNDA AFIWA NA BABA MZAZI
Wednesday, February 26, 2014
Na Princess Asia, Dar es Salaam KIPA namba moja Tanzania, Ivon Philip Mapunda amefiwa na baba yake mzazi Mzee Philip Mapunda jana jioni na...
KUTOKA KINYAIYA GESTI HADI BAHARI BEACH, YANGA SC IMEPIGA HATUA KUBWA
Wednesday, February 26, 2014
MWAKA 2009, Yanga SC ilitolewa mapema tu katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufungwa nyumbani na ugenini na Al Ahly ya Misri katika ha...
Subscribe to:
Posts (Atom)