• HABARI MPYA

        Thursday, January 09, 2014

        YANGA NDANI YA TURKISH AIRLINE SAFARI UTURUKI...UTAWATAKA!

        Wachezaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto wakiwa ndani ya ndege ya Turkish Airline kwa safari ya Uturuki Alfajiri ya leo ambako wanakwenda kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Bara.
        Jerry Tegete katika mgahawa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na chini ni Juma Abdul

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA NDANI YA TURKISH AIRLINE SAFARI UTURUKI...UTAWATAKA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry