// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC NA KCC KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR, MESSI ALIKOSA BAO TAMU SANA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC NA KCC KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR, MESSI ALIKOSA BAO TAMU SANA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, January 04, 2014

    SIMBA SC NA KCC KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR, MESSI ALIKOSA BAO TAMU SANA!

    Winga machachariwa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiruka guu la kipa wa KCC ya Uganda, Magoola Omar katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
    Beki wa KCC akimdhibiti Messi
    Haroun Chanongo akiwatoka wachezaji wa KCC pembeni kushoto
    Beki wa KCC akiondosha mpira hatarini dhidi ya mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe
    Messi alihaha Uwanja mzima jana, lakini wapi
    Nafasi pekee nzuri ya Simba SC kupata bao aliipata Messi, lakini pamoja na kuwatoka vizuri mabeki akakwama kwa kipa Magoola Omar
    Messi alijaribu kumpiga chenga kipa huyo, lakini Magoola akaupiga mpira ukaenda nje na Messi akapitiliza
    Stephen Bengo wa KCC kushoto akipambana na viungo wa Simba SC
    Haroun Chanongo kulia akitafuta maarifa ya kumpita beki wa KCC
    Jonas Mkude alijaribu kupiga shuti la mbali, lakini likapaa juu kidogo ya lango
    Betram Mombeki wa Simba SC akimtoka beki wa KCC
    Kikosi cha Simba SC jana
    Kikosi cha KCC
    Wazee wa benchi; Wachezaji wa akina wa Simba SC, kutoka kulia ni Zahor Pazi, Abdulhalim Humud 'Gaucho', Kaze Gilbert chini na Yaw Berko

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA KCC KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR, MESSI ALIKOSA BAO TAMU SANA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top