![]() |
Ramadhani Singano 'Messi' akifanya yake katikati ya wachezaji wa Rhino |
![]() |
Messi akifanya yake |
![]() |
Suleiman Jingo wa Rhino mbele ya Haruna Shamte wa Simba |
![]() |
Messi akimvuta jezi beki wa Rhino |
![]() |
Ali Badru wa Simba SC akimtoka beki wa Rhino |
![]() |
Behewa; Amri Kiemba wa Simba SC akimkokota beki wa Rhino |
![]() |
Amri Kiemba akiambaa na mpira pembeni ya wachezaji wa Rhino |
![]() |
Amisi Tambwe wa Simba SC akikabiliana na beki wa Rhino |
![]() |
Betram Mombeki aliingia na kutoka |
![]() |
Wakubwa; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC,Zacharia Hans Poppe kulia akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Geoffrey Nyange 'Kaburu' |
0 comments:
Post a Comment