• HABARI MPYA

        Monday, January 20, 2014

        RAIS KIKWETE AMUAPISHA JUMA NKAMIA NA WENZAKE KUANZA KAZI RASMI LEO


        Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
        Rais Kikwete na Makamu wa Rais katika picha ya pamoja na Mawaziri walioapishwa leo
        Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na áfamilia yake, baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba. Picha na OMR
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: RAIS KIKWETE AMUAPISHA JUMA NKAMIA NA WENZAKE KUANZA KAZI RASMI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry