• HABARI MPYA

        Friday, January 31, 2014

        QPR YASAINI MSHAMBULIAJI WA WOLVES KWA MKOPO

        QPR imemsaini mshambuliaji wa Wolves, Kevin Doyle kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu.
        Kocha Harry Redknapp ameamua kuimarisha kikosi chake baada ya kumpoteza Charlie Austin aliyeumia bega mapema wiki hii.
        Mshambuliaji huyo wa zamani wa Reading alifanya mazoezi na wachezaji wenzake kwa mara ya kwanza asubuhi ya leo na yuko tayari kucheza kesho dhidi ya Burnley.
        Kifaa kipya: Kevin Doyle akionyesha jezi ya QPR baada ya kujiunga na timu hiyo ya Harry Redknapp kwa mkopo
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: QPR YASAINI MSHAMBULIAJI WA WOLVES KWA MKOPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry