// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KUMBE TAMBWE HUWA ANACHEKA, HALAFU ANA MWANYA BWANA! BONGE LA HANDSOME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KUMBE TAMBWE HUWA ANACHEKA, HALAFU ANA MWANYA BWANA! BONGE LA HANDSOME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Thursday, January 09, 2014

        KUMBE TAMBWE HUWA ANACHEKA, HALAFU ANA MWANYA BWANA! BONGE LA HANDSOME

        Mshambuliaji wa Simba SC, Mrundi Amisi Tambwe amekuwa akishangilia kigumu bila tabasamu anapofunga mabao, kiasi kwamba mashabiki wakaanza kufikiri jamaa huwa hacheki kabisa, lakini jana kabla ya mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Chuoni ya Unguja, Uwanja wa Amaan, Zanzibar kamera ya BIN ZUBEIRY ilimnasa akitabasamu na mtu mzima kumbe ana mwanya 'bonge la handsome'.
        Ramadhani Chombo 'Redondo' kushoto ndiye aliyesababisha Tambwe acheke, sijui alimuambia nini
        Tambwe hakutabasamu hata alipofunga bao la 10 katika Ligi Kuu mzunguko wa kwanza dhidi ya Ashanti United, Novemba 6, mwaka jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KUMBE TAMBWE HUWA ANACHEKA, HALAFU ANA MWANYA BWANA! BONGE LA HANDSOME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry