• HABARI MPYA

        Thursday, January 09, 2014

        KILIMANJARO QUEENS YAIFUMUA KENYA 108-5, ZANZIBAR YALALA KWA UGANDA KOMBE LA MAPINDUZI

        Mchezaji wa Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens, Mwanaidi Hassan akifunga kwenye goli la Kenya katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi jioni ya leo Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar. Queens walishinda 108-5.
        Mchezaji wa Zanzibar, Mainda Roger akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Uganda katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi jioni ya leo Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar. Uganda walishinda 53-37.
        Peace Prosocovia wa Uganda akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Zanzibar, Mwajuma Hamad
        Pili Peter wa Zanzibar akidaka mpira katikati ya wachezaji wa Uganda
        Wachezaji wa Uganda na Zanzibar wakigombea mpira
        Irene Elias wa Tanzania Bara akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Kenya
        Mwanaidi akifunga
        Rachel Nanyonga wa Uganda akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Zanzibar
        Asha Ibrahim wa Zanzibar kulia akigombea mpira na mchezaji wa Uganda, Lillian Ajio
        Viongozi wa CHANETA na CHANEZA wakiwa na Katibu wa TBF, Saleh Zonga wa pili kushoto
        Meneja wa Queens, Zakia Kondo kushoto akiwa na mchezaji wake, Fatuma Bakari

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS YAIFUMUA KENYA 108-5, ZANZIBAR YALALA KWA UGANDA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry