![]() |
Bosi mpya; Ezekiel Kamwaga Katibu mpya wa Simba SC |
Aidha, mbunge huyo wa Tabora Mjini CCM, atamtaja pia Mwandishi mwandamizi wa magazeti ya Bingwa na Dimba, Asha Muhaji kuwa Ofisa Habari mpya wa klabu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi, nafasi ambayo inaachwa wazi na Kamwaga anayepanda cheo.
Habari kutoka ndani ya Simba SC, zimesema kwamba Rage atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari mchana wa leo Dar es Salaam kutaja wateuliwa hao wapya.
![]() |
Kipele kimepata mkunaji; Asha Muhaji ni mpenzi wa damu wa Simba ni mwandishi mzoefu nchini, anakuwa Ofisa Habari mpya wa SImba SC |
0 comments:
Post a Comment