// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC ILIVYOONYESHA INAWEZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC ILIVYOONYESHA INAWEZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, January 02, 2014

    AZAM FC ILIVYOONYESHA INAWEZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO ZANZIBAR

    Kiungo wa pembeni wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akimtoka beki wa Spice Stars ya Zanzibar katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi, uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo. Azam ilishinda 2-0.
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akiondoka na mpira baada ya kumlamba chenga ya hatari beki wa Spice kwenye chaki  
    Kiungo wa Azam FC, ambao ni mabingwa mara mbili wa Kombe la mapinduzi, Himid Mao akiwatoka mabeki wa Spice
    Beki wa Spice, akiwa ameudodokea mpira huku mshambuliaji wa Azam FC, Muamad Ismael Kone akitafuta maarifa ya kuuchukua
    Kiungo wa Spice akijaribu kumtoka Himid Mao
    Muamad Ismael Kone anaugulia maumivu chini huku Kipre Tchetche akipambana na mabeki wa Spice kugombea mpira
    Joseph Kimwaga akitoa pasi mbele ya mabeki wa Spice
    Brian Umony akipambana na beki wa Spice
    Joseph Kimwaga akiruka hewani kupiga mpira kichwa
    Kone akiambaa na mpira
    Brian Umony akimtoka beki wa Spice
    Kikosi cha Azam leo
    Kikosi cha Spice
    Mashabiki wakifuatilia mchezo
    Wakala wa wachezaji anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Ali Saleh kushoto akihojiwa na mtangazaji wa Redio ABM, Abdallah Majira kulia

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOONYESHA INAWEZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top