
Friday, January 31, 2014

Arsenal imemsaini kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu wa 2013/2014 kiungo wa kimataifa wa Sweden, Kim Kallstrom (pichani) kutoka klabu ya S...
OSVALDO ATUA JUVE AKITOKEA SOUTHAMPTON
Friday, January 31, 2014
MSHAMBULIAJI wa Southampton, Dani Osvaldo amekamilisha uhamisho wa mkopo kuelekea Juventus pamoja na uwezekano wa kununuliwa moja kwa moja...
QPR YASAINI MSHAMBULIAJI WA WOLVES KWA MKOPO
Friday, January 31, 2014
QPR imemsaini mshambuliaji wa Wolves, Kevin Doyle kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu. Kocha Harry Redknapp ameamua kuimarisha kikosi chak...
WEST HAM UNITED YASAJILI BEKI LA NAPOLI KWA MKOPO
Friday, January 31, 2014
BEKI wa pembeni kushoto wa Napoli, Pablo Armero amejiunga na West Ham kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu, klabu hiyo ya Serie A imesema...
KIM KALLSTROM AFAULU VIPIMO VYA AFYA ARSENAL, KLOSE NA QUAGLIARELLA NAO WAPO KWENYE RADA ZA WENGER
Friday, January 31, 2014
KIUNGO Kim Kallstrom amefaulu vipimo vya afya Arsenal kuelekea kusajiliwa katika siku ya mwisho ya kufungwa pazia la usajili wa dirisha do...
CAF YAUPITISHA AZAM COMPLEX KWA MECHI ZA KLABU AFRIKA
Friday, January 31, 2014
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) leo limeupa kibali cha Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi,Dar es Salaam unaomilikiwa na klabu ya Azam ...
WACHEZAJI TIMU YA LA LIGA WAGOMA KUCHEZA MECHI KWA SABABU HAWAJALIPWA MISHAHARA TANGU SEPTEMBA MWAKA JANA...WALIFIKA UWANJANI VIZURI, LAKINI...
Friday, January 31, 2014
KLABU ya Racing Santander imefungiwa kucheza michuano ya Kombe la Mfalme mwakani, baada ya wachezaji wake kugomea mchezo wa marudiano wa R...
FULHAM YAZIBA PENGO LA BERBATOV KWA KUSAINI STRIKER LA UGIRIKI
Friday, January 31, 2014
KLABU ya Fulham imeziba pengo la Dimitar Berbatov kwa kukamilisha usajili wa kimataifa wa Ugiriki, Kostas Mitroglou. Berbatov ameruhusiw...
SUNDERLAND YASAINI KIUNGO MPYA
Friday, January 31, 2014
KIUNGO Liam Bridcutt amekamilisha usajili wa Pauni Milioni 2.5 kutua Sunderland akitokea Brighton, akiwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Gu...
MCHEZAJI WA ARSENAL ASAINI DARAJA LA KWANZA NA KUSEMA; "JINSI GANI NITASOTEA MADEMU"
Friday, January 31, 2014
KIUNGO wa Arsenal, Emmanuel Frimpong amesaini klabu ya Daraja la Kwanza Barnsley from Arsenal kwa ada ya uhamisho ambayo haikutajwa. Baa...
FULHAM YAMSAINI LEWIS KUTOKA SPURS KWA MKOPO
Friday, January 31, 2014
KLABU ya Fulham imethibitisha kumsajili kwa mkopo Lewis Holtby kutoka Tottenham. Kiungo huyo amekuwa akisotea namba kikosi cha kwanza Sp...
MOURINHO ASAINI BEKI LA KATI CHELSEA KINDA LA MIAKA 19 KUTOKA UFARANSA
Friday, January 31, 2014
KOCHA Jose Mourinho amekamilisha usajili wa Kurt Zouma kutoka klabu ya St-Etienne. Chelsea imekubali kulipa ada ya uhamisho ya Pauni Mi...
KLABU SITA ZATAKA KUMNG'OA CHICHARITO MAN UNITED
Friday, January 31, 2014
HUKU akiwa nafasi ya uhakika kwenye kikosi cha kwanza Manchester United, hakuna ajabu klabu sita zinataka kumsajili Javier Hernandez. I...
ARSENAL YATAKA KUMSAJILI KIM KALLSRTOM
Friday, January 31, 2014
WAKATI dirisha la usajili linafungwa leo saa 6:00 usiku, Arsenal ipo kwenye mazungumzo na kiungo wa Spartak Moscow, Kim Kallstrom. Mko...
MIDO LA UKWELI CHUJI ‘MUZUZU’ LAINGIA KAMBINI YANGA TAYARI KUPIGA KAZI DHIDI YA MBEYA CITY JUMAPILI, KIIZA DIEGO NA DILUNGA NAO ‘FULL’
Friday, January 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam MIDO la ukweli, Athumani Iddi Athumani ‘Chuji’ ameingia kambini Yanga SC Bagamoyo mkoani Pwani, kujiunga...
MALKIA KHADIJA KOPA AAMUA KUANZISHA BENDI YAKE
Friday, January 31, 2014
Na Sauda Mkalokota, Zanzibar MWIMBAJI wa nyimbo za Taarabu Tanzania Khadija Omar Kopa ametanzanga kuanzisha bendi yake itakayoitwa Ogopa K...
MALINZI ATIMIZA SIKU 100 TANGU AACHIWE TFF NA TENGA
Friday, January 31, 2014
Boniface Wambura, Ilala KAMATI mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi, Februari 4 mwaka huu ina...
SERENGETI BOYS YAPANGIWA AFRIKA KUSINI
Friday, January 31, 2014
Boniface Wambura, Ilala TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) itacheza na Afrika Kusini katika mechi za mc...
SIMBA NA OLJORO JKT KESHO KIINGILIO SH 5,000
Friday, January 31, 2014
Boniface Wambura, Ilala LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuwania ubingwa wa Tanzania inaingia raundi ya 16 wikiendi hii kwa mechi nne amb...
DRAXLER HATUA CHACHE KUFIKA ARSENAL, WENGER AHARIBU MWENYEWE KWA UBAKHILI WAKE
Friday, January 31, 2014
ZALI. Julian Draxler yuko tayari kuhamia Arsenal, lakini Arsene Wenger anakabiliwa na jukumu la kufika bei wanayotaka Schalke. Klabu hiz...
WATANZANIA WALIOKWWNDA KUMCHEKI MATA AKIICHEZEA MAN UNITED KWA MARA YA KWANZA WAREJEA NA STORI KIBAOOO
Friday, January 31, 2014
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WASHINDI wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mimi ni Bingwa jana waliwasili katika uwanja wa nde...
Thursday, January 30, 2014
AC MILAN YANG'OA KIFAA KINGINE ENGLAND
Thursday, January 30, 2014
KIUNGO Adel Taarabt amesaini AC Milan kwa mkopo kutoka timu ya Daraja la Kwanza England, QPR. Kiungo huyo mshambuliaji wa kimataifa wa M...
SIMBA SC WAINGIA KAMBINI KIGOGO KUIWEKEA AKILI SAWA OLJORO
Thursday, January 30, 2014
Kikosi cha Simba SC leo kimengia kambini katika hoteli ya Vinna, Kigogo, Dar es Salaam kuiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...
YANGA WAIENDEA BAGAMOYO MBEYA CITY, BIFU LA CANNAVARO NA NIYONZIMA MKWAKWANI LATULIZWA KIUTU UZIMA
Thursday, January 30, 2014
Na Prince Akbar, Tanga BAADA ya kushikwa kwa sare na Coastal, kikosi cha Yanga kimeamua kuiendea kambini mjini Bagamoyo, Pwani timu ya Mbe...
CHAN YAFIKIA TAMATI JUMAMOSI, GHANA NA LIBYA KUGOMBEA MWALI WA TATU CAPE TOWN
Thursday, January 30, 2014
Na Princess Asia, Johannesburg FAINALI ya michuano ya ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), mashindano yanayohusisha timu zinazocheza ligi ...
THIAGO AFUNGA BOONGE LA BAO LA TIK TAK BAYERN IKICHEZA MECHI YA 43 BILA KUFUNGWA BUNDESLIGA
Thursday, January 30, 2014
BAO la tik tak la Thiago dakika za majeruhi limeipa Bayern Munich ushindi wa 2-1 dhidi ya Stuttgart na kuwawezesha The Bavarians kuendelez...
MUOSHWA AKIOSHWA...MOURINHO ALAANI VIKALI WEST HAM UNITED KUPAKI BASI JANA, ASEMA WALICHEZA SOKA YA MWAKA 47
Thursday, January 30, 2014
UMAARUFU wa Jose Mourinho na mafaniko aliyoyapata kutwaa mataji matatu ya Ligi Kuu ya Mabingwa Ulaya, vimetokana na mfumo wa uchezaji wa t...
MBIO ZA UBINGWA ZANOGA ENGLAND, MAN CITY YAKAA KILELENI LAKINI ARSENAL, CHELSEA HAZIKO MBALI NAO
Thursday, January 30, 2014
USHINDI wa mabao 5-0 wa Manchester City dhidi ya Tottenham Hotspur jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana, umezidi kunogesha mbio ...
Subscribe to:
Posts (Atom)