Picha hizi ni wakati Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Abdallah Ahmed Bin Kleb akizungumza na Waandishi wa Habari jana kutangaza uamuzi wa kumfukuza kocha Mholanzi, Ernie Brandts katika klabu hiyo makao makuu ya klabu makutano ya mitaa Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. Jamaa aliongea kwa hisia kali sana. Kumbuka uamuzi huo ulikuja siku mbili tu baada ya Yanga kufungwa 3-1 na Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi iliyopita. |
0 comments:
Post a Comment