// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); STARS NA CHIPOLOPOLO WALIVYOPIGWA MABOMU NA POLISI WA KENYA LEO NYAYO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE STARS NA CHIPOLOPOLO WALIVYOPIGWA MABOMU NA POLISI WA KENYA LEO NYAYO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, December 12, 2013

    STARS NA CHIPOLOPOLO WALIVYOPIGWA MABOMU NA POLISI WA KENYA LEO NYAYO

    Mshambuliaji wa Tanzania Bara, 'Kilimanjaro Stars', Mbwana Samatta akienda chini bada ya kukwatuliwa na wachezaji wa Zambia katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge jioni ya leo Uwanja wa  Nyayo, Nairobi, Kenya. Zambia ilishinda kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90. 
    Mbwana Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya Rodrick Kabwe wa Zambia kushoto

    Mbwana Samatta akichuana na Nahodha wa Zambia, Bronson Chama kulia
    Mrisho Ngassa akimpiga tobo beki wa Zambia, Rodrick Kabwe
    Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka Sydney Kalume wa Zambia kulia
    Felix Katongo wa Zambia akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Stars, Athumani Iddi 'Chuji'
    Haikuwa riziki; Kipa Ivo Mapunda na beki wake Said Mourad wakitoka uwanjani baada ya mechi
    Walikosekana; Kiungo Frank Domayo kushoto akiwa na mshambuliaji Thomas Ulimwengu wakifuatilia mechi hiyo jukwani
    Wachezaji wa zamani Tanzania, Kitwana Manara 'Popat' kushoto na Joe Kadenge wa Kenya kulia walikuwepo Nyayo
    Wachezaji wa zamani wa Tanzania
    Erasto Nyoni akimtoka Felix Katongo
    Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka Rodrick Kabwe
    Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Zmbia
    Haroun Chanongo kulia akimtoka Kabaso Chongo
    Wachezaji wa Stars wakinawa maji baada ya mchezo kusimama kutokana na kulipuliwa kwa mabomu ya machozi na Polisi dakika ya 88 wakipambana na mashabiki wa Kenya waliotaka kuingia uwanjani bure
    Kujiokoa dhidi ya mabomu
    Mrisho Ngassa kulia na Amri Kiemba kushoto wakikimbia mabomu. Mchezo ulisimama dakika ya 88 hadi baada ya dakika sita ukaendelea

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS NA CHIPOLOPOLO WALIVYOPIGWA MABOMU NA POLISI WA KENYA LEO NYAYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top