![]() |
Kipa wa Simba SC, Yaw Berko akidaka mpira miguuni mwa mshambuliaji wa KMKM, Ally Ahmed 'Shiboli' |
![]() |
Beki wa Simba SC, Haruna Shamte akiwatoka wachezaji wa KMKM |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Betram Mombeki akiwatoka mabeki wa KMKM |
![]() |
Uhuru Suleiman wa Simba SC kulia akimtoka beki wa KMKM |
![]() |
William Lucian 'Gallas' wa Simba SC akipasua katikati ya wachezaji wa KMKM |
![]() |
Kocha mpya wa Simba SC, Mcroatia Zdravko Logarusic akiwaelekeza wachezaji wake kucheza mpira wachini |
![]() |
Beki wa Simba SC, Henry Joseph akimdhibiti mshambuliaji wa KMKM, huku kipa Yaw Berko akiwa tayari kudaka |
![]() |
Yaw Berko amedaka |
![]() |
Beki wa KMKM akiondosha mpira miguuni mwa Betram Mombeki wa Simba SC |
![]() |
Kiungo wa KMKM, Juma Mbwana akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Simba SC |
![]() |
William Lucian 'Gallas' wa Simba SC kushoto na Iddi Mgeni wa KMKM kulia |
![]() |
Iddi Mgeni akimpiga teke Hamisi Tambwe wa Simba SC |
![]() |
Big Boss; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto akiwa jukwaani kuangalia burudani leo |
![]() |
Omary Salum wa Simba SC kushoto akiambaa |
![]() |
Kikosi cha Simba SC leo |
![]() |
Kikosi cha KMKM leo |
0 comments:
Post a Comment