// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PEP GUARDIOLA AONGOZA KULIPWA MSHAHARA MKUBWA DUNIANI KWA MAKOCHA, MOURINHO WA PILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PEP GUARDIOLA AONGOZA KULIPWA MSHAHARA MKUBWA DUNIANI KWA MAKOCHA, MOURINHO WA PILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, December 20, 2013

    PEP GUARDIOLA AONGOZA KULIPWA MSHAHARA MKUBWA DUNIANI KWA MAKOCHA, MOURINHO WA PILI

    AKIWA mshindi wa mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa, matatu ya La Liga, mawili ya Copa del Rey piaa ana ajira mpya kwa mabingwa wa mataji matatu, Bayern Munich. 
    Kiboko yao: Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola ndiye anayelipwa zaidi duniani

    MAKOCHA WANAOLIPWA ZAIDI DUNIANI

    1 Pep Guardiola, Bayern Munich, £14.8m
    2 Jose Mourinho, Chelsea, £8.37m
    3 Marcelo Lippi, Guangzhou, £8.34m
    4 Arsene Wenger, Arsenal, £6.89m
    5 Fabio Capello, Russia, £6.51m
    6 Carlo Ancelotti, Real Madrid, £6.26m
    7 David Moyes, Man United, £4.92m
    8 Tata Martino, Barcelona, £4.5m
    9 Jurgen Klopp, Borussia Dortmund, £3.59m
    10 Manuel Pellegrini, Man City, £3.47m
    11 Jorge Jesus, Benfica, £3.34m
    12 Brendan Rodgers, Liverpool, £3.25m
    13 Sam Allardyce, West Ham, £2.95m
    13 Roy Hodgson, England, £2.95m
    15 Roberto Mancini, Galatasaray, £2.92m
    15 Rafa Benitez, Napoli, £2.92m
    17 Luciano Spaletti, Zenit, £2.75m
    18 Claudio Ranieri, Monaco, £2.5m
    18 Laurent Blanc, PSG, £2.5m
    18 Antonio Conte, Juventus, £2.5m
    18 Cesare Prandelli, Italy, £2.5m
    22 Massimiliano Allegri, Milan, £2.34m
    23 Felipe Scolari, Brazil, £2.3m
    24 Ottmar Hitzfeld, Switzerland, £2.17m
    25 Mircea Lucescu, Shakhtar, £2.14m
    26 Diego Simeone, Atletico Madrid, £2.09m
    26 Harry Redknapp, QPR, £2.09m
    26 Joachim Low, Germany, £2.09m
    29 Walter Mazzarri, Inter Milan, £2m
    30 Vecente del Bosque, Spain, £1.96m
    Kwa yote hayo, hakuna ajabu Pep Guardiola ndiye kocha wa soka anayelipwa zaidi duniani, akipata kiasi cha Pauni Milioni 14.8 kwa mwaka. 
    Huwezi amini, kocha wa timu inayosuasua, West Ham, Sam Allardyce anashika nafasi ya 13 katika orodha ya makocha wanaolipwa vizuri duniani, akiwa anapata Pauni Milioni 2.95 kwa mwaka na anawazidi Roberto Mancini wa Galatasaray, anayelipwa Pauni Milioni 2.92, Rafa Benitez wa Napoli Pauni Milioni 2.92 na analingana na kocha wa England, Roy Hodgson. 
    Kwa mujibu wa orodha ya kitaalamu iliyochapishwa na Sporting Intelligence, inaonyesha kwamba katika orodha ya makocha 30 wanaolipwa zaidi duniani, wanane wanapiga kazi England, watano Italia, wanne Hispania, watatu Ujerumani na wawili Urusi. 
    Katika makocha wanaolipwa zaidi kutoka England, Mreno Jose Mourinho anashika nafasi ya pili kwenye orodha ya dunia. 
    Kocha huyo wa Chelsea analipwa kiasi cha Pauni Milioni 8.34 kwa mwaka Stamford Bridge, wakati Arsene Wenger wa Arsenal anayelipwa Pauni Milioni 6.89 anashuka nafasi ya nne.Orodha kamili iko hivi; 1 Pep Guardiola, Bayern Munich, £14.8m, 2 Jose Mourinho, Chelsea, £8.37m, 3 Marcelo Lippi, Guangzhou, £8.34m, 4 Arsene Wenger, Arsenal, £6.89m, 5 Fabio Capello, Russia, £6.51m, 6 Carlo Ancelotti, Real Madrid, £6.26m, 7 David Moyes, Man United, £4.92m. 8 Tata Martino, Barcelona, £4.5m.
    Wengine ni namab 9 Jurgen Klopp, Borussia Dortmund, £3.59m, 10 Manuel Pellegrini, Man City, £3.47m, 11 Jorge Jesus, Benfica, £3.34m, 12 Brendan Rodgers, Liverpool, £3.25m, 13 Sam Allardyce, West Ham, £2.95m, 13 Roy Hodgson, England, £2.95m, 15 Roberto Mancini, Galatasaray, £2.92m, 15 Rafa Benitez, Napoli, £2.92m. 
    17 Luciano Spaletti, Zenit, £2.75m, 18 Claudio Ranieri, Monaco, £2.5m, 18 Laurent Blanc, PSG, £2.5m, 18 Antonio Conte, Juventus, £2.5m, 18 Cesare Prandelli, Italy, £2.5m, 22 Massimiliano Allegri, Milan, £2.34m, 23 Felipe Scolari, Brazil, £2.3m, 24 Ottmar Hitzfeld, Switzerland, £2.17m, 25 Mircea Lucescu, Shakhtar, £2.14m.
    26 Diego Simeone, Atletico Madrid, £2.09m, 26 Harry Redknapp, QPR, £2.09m, 26 Joachim Low, Germany, £2.09m, 29 Walter Mazzarri, Inter Milan, £2m, 30 Vecente del Bosque, Spain, £1.96m.
    Not bad: David Moyes has seen a hefty wage increase since swapping Everton for Manchester United
    Siyo mbaya: David Moyes amepanda mshahara tangu ahamie Manchester United kutoka Everton
    Nice work: Fabio Capello earns a large wage packet from Russia for his role as national team coach
    Kazi nzuri: Fabio Capello analipwa vizuri timu ya taifa ya Urusi
    In the money: Sam Allardyce is 13th in Sporting Intelligence's list of best-paid bosses
    Sam Allardyce anashika nafasi ya 13
    Mega-rich: Manchester City manager Manuel Pellegrini is also paid hansomely at the Etihad club
    Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini pia analipwa vizuri Etihad
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PEP GUARDIOLA AONGOZA KULIPWA MSHAHARA MKUBWA DUNIANI KWA MAKOCHA, MOURINHO WA PILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top