![]() |
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe katikati akiwa ameinua Kombe la Mtani Jembe Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kuifunga Yanga SC mabao 3-1. |
![]() |
Wachezaji wa Simba na Kombe na Medali zao |
![]() |
Rais wa TFF, Jamal Malinzi akimkumbatia kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda |
![]() |
Malinzi akimvisha Medali Ramadhai SIngano 'Messi' |
![]() |
Malinzi akimpongeza Hans Poppe |
![]() |
Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akimkabidhi Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi' mfano wa hundi ya SH. Milioni 1 |
![]() |
Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh akipokea hundi ya Sh. Milioni 98.9 |
![]() |
Malinzi akimkabidhi Nahodha wa Yanga, Jerry Tegete Kombe dogo |
![]() |
Nahodha wa Simba SC, Haruna Shamte akipokea Kombe |
![]() |
Jonas Mkude akivalishwa Medali |
![]() |
Amri Kiemba akivalishwa Medali |
![]() |
Hans Poppe na Ivo |
0 comments:
Post a Comment