// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MERTERSACKER ATAKA KUMCHAPA OZIL BAADA YA MECHI ARSENAL IKIPIGWA SITA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MERTERSACKER ATAKA KUMCHAPA OZIL BAADA YA MECHI ARSENAL IKIPIGWA SITA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, December 14, 2013

        MERTERSACKER ATAKA KUMCHAPA OZIL BAADA YA MECHI ARSENAL IKIPIGWA SITA

        WAJERUMANI Per Mertesacker na Mesut Ozil 'waliwakiana' wakati wakitoka Uwanja wa Etihad baada ya Arsenal kufungwa mabao 6-3 na Manchester City.
        Beki Mertesacker ndiye aliyeonekana kumuwakia Ozil - mmoja wa rafiki zake wakubwa katika soka - na akamnyooshe kidole cha mkwara mzito kiungo huyo mwishoni mwa mchezo.
        Tena usirudie tena: Per Mertesacker (kulia) akimuwekea mikwara Mesut Ozil baada ya kipigo cha Arsenal cha 6-3 kutoka kwa Manchester CityBoiling over: Mertesacker continues to rage against his close pal
        Mkwara mzito: Mertesacker akiendelea kumfokea OzilSetting an example: Jack Wilshere (left) and Mertesacker salute the Arsenal fans
        Anaua soo: Hapa anawapigia makofi mashabiki akiwa na Jack Wilshere 
        A right earful: Mertesacker continues to rage
        A right earful: Mertesacker continues to rage
        Mertesacker akimchimba mikwara Ozil wakati wanatoka uwanjani
        Stunning result: Manchester City blew open the title race by thumping the leaders
        Hiki ndiko kilemeta balaa Arsenal
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MERTERSACKER ATAKA KUMCHAPA OZIL BAADA YA MECHI ARSENAL IKIPIGWA SITA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry