![]() |
Kocha mpya wa Azam FC, Mcameroon, Joseph Marius Omog akiongoza mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. |
![]() |
Beki Said Mourad akitanua kifua |
![]() |
Kiungo Salum Abubakar akipooza koo na maji ya Uhai |
![]() |
Wachezaji wakifanya mazoezi |
![]() |
Kulia Brian Umony kushoto Muamad Kone |
![]() |
Sitaki mpira kama Yanga kufungwa tatu, sitaki |
![]() |
Vijana wanapewa uwezo wa kumiliki mpira |
![]() |
Wanamiliki mpira |
![]() |
Mazoezi |
![]() |
Kocha wa akademi, Vivik Nagul alikuwepo |
![]() |
Viongozi walikuwepo |
0 comments:
Post a Comment