// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HIMID MAO NA TABU ZA NAIROBI... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HIMID MAO NA TABU ZA NAIROBI... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 01, 2013

    HIMID MAO NA TABU ZA NAIROBI...

    Kiraka, Himid Mao wa timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars akisafisha viatu vyake baada ya kumaliza kufanya mazoezi kwenye Uwanja wenye matope wa Chuo Kikuu cha Strathmore, Nairobi, Kenya jana. Wachezaji wote baada ya mazoezi huhamia kwenye Uwanja wa mpira wa kikapu wenye sakafu kusafisha viatu vyao kwa maji yaliyotuwama kutokana na mvua zinazoendelea hapa.
    Stars leo inacheza mechi ya pili ya Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge dhidi ya Somalia Uwanja wa Nyayo, Nairobi mchana. 
    Himid Mao ataanza beki ya kulia leo
    Katika mechi ya kwanza alicheza kulia pia Stars ikitoka sare ya 1-1 na Zambia Uwanja wa Kenyatta, Machakos
    Stars inahitimisha mechi zake za Kundi A Jumatano kwa kumenyana na Burundi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIMID MAO NA TABU ZA NAIROBI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top