
Tuesday, December 31, 2013

Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam RASMI. Yanga SC imejitoa katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa sababu timu yao haina benchi la Ufun...
MESSI AWEKWA ‘KITI MOTO’ SIMBA, KISA? UTOVU WA NIDHAMU
Tuesday, December 31, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Azam Marine KIUNGO nyota wa Simba SC, Ramadhani Yahay Singano ‘Messi’ leo asubuhi aliwekwa kikao cha dharula na viongo...
SIMBA SC WAKIWA SAFARINI ZANZIBAR KUFUATA 'NDOO' YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
Tuesday, December 31, 2013
Wachezaji wa Simba SC wakiwa eneo la bandari ndogo, Azam Marine, Dar es Salaam wakielekea kupanda boti asubuhi hii tayari kwa safari ya Z...
USAJILI DIRISHA DOGO MAMBO MAGUMU MAN UNITED, MTENDAJI MKUU AGOMA KUMPA MOYES FEDHA ZA KUNUNUA WACHEZAJI WAPYA
Tuesday, December 31, 2013
KLABU ya Manchester United inahofia jitihada zake za beki mpya wa kushoto katika usajili wa dirisha dogo Januari hauwezi kuvunja matunda, ...
SIMBA SC YAREKEBISHA DOSARI KATIKA USAJILI WAKE, SASA HAKATWI MTU MSIMBAZI
Tuesday, December 31, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam KLABU ya Simba SC ya Dars Salaam, imesema kwamba imekwisharekebisha dosari zilizokuwapo kwenye usajili w...
YANGA SC YASEMA ZFA INAWACHELEWESHA KWENDA ZANZIBAR KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI
Tuesday, December 31, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam YANGA SC imesema haijapata barua ya mwongozo kuhusu Kombe la Mapinduzi kutoka kwa Chama cha Soka Zanziba...
Monday, December 30, 2013
'CHICHI MAWE' ULINGONI KESHO NA MKENYA MSASANI CLUB
Monday, December 30, 2013
Bondia Joshua Amukulu kushoto kutoka Kenya akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa upimaji uzito kwa ...
BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA
Monday, December 30, 2013
Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa vi...
MOURINHO ASEMA SUAREZ ALICHEZA SARAKASI JANA, ALIJIRUSHA KWENYE BWALA LA KUOGELEA, RODGERS AMJIBU; "ETO'O ALIKUWA WA KULA NYEKUNDU NA KUSABABISHA PENALTI"
Monday, December 30, 2013
KOCHA Jose Mourinho na Brendan Rodgers waliingia kwenye vita ya maneno jana baada ya mechi, ambayo Chelsea iliifunga Liverpool 2-1 katika ...
NGASSA HATARINI KUKOSA KOMBE LA MAPINDUZI, TYPHOID YAMLAZA
Monday, December 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa anasumbuliwa na homa ya matumbo, typhoid ambayo ...
ZAHOR PAZI: BABA ANANINYIMA RAHA SIMBA SC HADI NAJUTA
Monday, December 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Zahor Pazi amesema kwamba anajikuta katika wakati mgumu tangu baba yake, Iddi ...
Sunday, December 29, 2013
CHELSEA YAIKALISHA LIVERPOOL DARAJANI, SUAREZ AFANYIWA 'UNDAVA' KINOMA, SPURS NAYO YAUA 3-0
Sunday, December 29, 2013
KOCHA Mreno Jose Mourinho ametoka na furaha Uwanja wa Stamford Bridge jioni hii, baada ya timu yake, Chelsea kuilaza mabao 2-1 Liverpool ka...
ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
Sunday, December 29, 2013
MSHAMBULIAJI Olivier Giroud amemaliza ukame wa mabao katika mechi saba baada ya kuifungia Arsenal bao pekee la ushindi Uwanja wa St James...
SIMBA WABORONGA USAJILI DIRISHA DOGO, TFF YABARIKI OKWI KUCHEZA YANGA, YAAHIDI KUFUATILIA FEDHA ZA KUUZWA TUNISIA
Sunday, December 29, 2013
Na Prince Akbar, Dar es Salaam KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana Jumamosi (Desemba 28,...
RAGE BADO MWENYEKITI HALALI SIMBA
Sunday, December 29, 2013
Na Princess Asia, Dar es Salaam ALHAJ Ismail Aden Rage ndiye Mwenyekiti halali wa Simba ambapo Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imem...
UJUAJI WA VIONGOZI WAKE, NDIYO LEO UMEIFIKISHA YANGA HAPA ILIPO, JE SASA WAKO TAYARI KUBADILIKA?
Sunday, December 29, 2013
MWAKA 2007, Yanga SC ilimpata kocha iliyekuwa inamfukuzia tangu mwaka 2003 bila mafanikio, Milutin Sredojevic ‘Micho’ aliyekuja kurithi mi...
Subscribe to:
Posts (Atom)