Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi Ernie Brandts akijadiliana na Msaidizi wake, Freddy Felix Minziro kushoto na Daktari, Nassor Matuyza kulia |
Kocha Brandts akimuelekeza jambo kipa mpya, Juma Kaseja aliyesajiliwa mwezi huu. Kaseja hakufanya mazoezi kwa sababu anasumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu. |
Marafiki wamekutana tena; Juma Kaseja akizungumza na rafiki Mahmoud Mpogolo ambaye ni mtunza vifaa vya mazoezi vya timu |
Nadir Haroub 'Cannavaro' |
Simon Msuva kushoto na Hussein Javu |
0 comments:
Post a Comment