// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC ILIVYOIKUNG'UTA JKT RUVU 4-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU BARA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC ILIVYOIKUNG'UTA JKT RUVU 4-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU BARA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 02, 2013

    YANGA SC ILIVYOIKUNG'UTA JKT RUVU 4-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU BARA

    Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao la nne lililofungwa na JerryTegete katika ushindi wa 4-0 dhidi ya JKT Ruvu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Ijumaa (Novemba 1, 2013) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam hivyo kupanda kileleni mwa ligi hiyo.

    Kutoka kulia Simon Msuva, Mrisho Ngassa na Jerry Tegete wakifurahia mbele ya jukwaa la mashabiki wao

    Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga kushoto akijiandaa kupiga krosi dhidi ya beki wa JKT Ruvu

    Mrisho Ngassa akipambana na beki wa JKT Ruvu

    Hamisi Kiiza 'Diego' akimlamba chenga beki wa JKT Ruvu

    Jerry Tegete akijiandaa kupiga mpira kufunga bao la nne, baada ya kufanikiwa kumuacha beki wa JKT Ruvu

    Jerry Tegete akiulinda mpira

    Hatari kwenye lango la JKT Ruvu 

    Kikosi cha Yanga leo

    Kikosi cha JKT Ruvu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOIKUNG'UTA JKT RUVU 4-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top