// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC ILIVYOCHAPWA NA JKT RUVU KARUME LEO, SALVA NA HAFIDH UTAWAONEA HURUMA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC ILIVYOCHAPWA NA JKT RUVU KARUME LEO, SALVA NA HAFIDH UTAWAONEA HURUMA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, November 24, 2013

    YANGA SC ILIVYOCHAPWA NA JKT RUVU KARUME LEO, SALVA NA HAFIDH UTAWAONEA HURUMA!

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Abdallah Mguhi 'Messi' akimtoka beki wa JKT Ruvu katika mechi ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa timu za Ligi Kuu ya Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, JKR Ruvu walishinda 2-1. 



    Anwar Kilemile wa JKT Ruvu akipiga kichwa kufunga bao la ushindi





    Kocha wa Yanga SC, Salvatory Edward leo

    Meneja wa Yanga Hafidh Saleh

    Wazee wa zengwe; Mashabiki wa Yanga

    Wastaraabu wa Jangwani; Mashabiki wa Yanga wakiangalia mechi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOCHAPWA NA JKT RUVU KARUME LEO, SALVA NA HAFIDH UTAWAONEA HURUMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top