Msalimie Musonye; Tenga sasa anabaki kuwa Rais wa CECAFA na Mjumbe wa CAF na FIFA |
Kuongoza mpira kazi; Malinzi akizungumza na Tenga wakati akienda kumuachia ofisi |
Malinzi akiandika anayoelezwa na Tenga |
Malinzi akinukuu hotuba ya Tenga, ilikuwa ndefu sana iliyosheheni mambo kibao |
Umati ulioshuhudia zoezi hilo |
Hongera sana; Tenga akimkaribisha Malinzi |
Duu, hii hotuba! Tenga akihutubia pembeni ya Malinzi |
Malinzi naye alihutubia, kushoto ni Makamu wake wa Rais, Walace Karia na kulia Tenga |
Mwenyekiti wa BMT, Dioniz Malinzi kushoto akiwa na Mkurugenzi wa Michezo, Lenard Thadeo kulia |
Mjumbe wa Kamati mpya ya Utendaji ya TFF, Geoffrey Nyange 'Kaburu' |
Sijui nitabaki? Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah |
Ilikuwa joto balaa; Hema hili ndilo lilitumika kwa shughuli hiyo |
Malinzi akinitosa narudi kufundisha Yanga; Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni kushoto |
0 comments:
Post a Comment